
Comrades power Kama wewe ni comrade na unatry kufind what type of hustle you can start this Njaanuary... Unaweza anza kuuza pudding, cold juice, fruit salad am home made popsicle kwanza za ukwaji vile huslurp na hii jua pia look at your area when choosing what to start from the above options #Tujijenge



0
0
0