
Comrades Power βπ½,
Kuna hii webinar yenye inaangazia mbona mayouths wengi wanafall into depression katika harakati ya kutafuta kazi after graduation π. Usiachwe nyuma, log-in @ 8 pm. today for advice and wisdom from employment gurus.
Fungua hii website and register under webinarsππ½ππ½ππ½ https://www.nyslf.co.ke

0
0
0