COMRADES POWER! 💪🔥 Vijana tunataka power 😂 — na power ya ukweli ni ile ya kuweza kujikimu kibiashara. Ile power ya kusave pesa kidogo kidogo mpaka unafungua dream job yako. Hiyo ndio independence ya kweli! Lakini ukweli ni kwamba, si kila kitu huenda vile tulipanga. Biashara inaweza kwama, kufail, ama hata kufungwa. Lakini kumbuka — hiyo sio mwisho wa safari. Jaribu tena. Jaribu mahali pengine. Jaribu kwa njia tofauti. Safari ya pili inakuja na experience, wisdom na nguvu mpya. Na mara nyingi, ile comeback huwa stronger kuliko ile start ya kwanza. Comrades, power si kutokudondoka — ni kusimama tena ukianguka. 🚀
0
0
0