
Comrades, quick rada— How do you deal with friends who are always begging, “tafadhali niconnect na job,” but when you finally plug them they be like, “aaah hiyo kazi siwez fanya, wacha nikae tu kwa nyumba.” 😂
These are the same Gen Z’s with zero responsibilities, but wanataka job yenye inalipa kama CEO, inaisha 3pm, na iko remote from the bed. 🤣
Do you keep stressing yourself, ama unawaachia life iwafundishe bila WiFi? 📵
0
0
0