COMRADES
Round hii wengi wanainama.
Gharama ya maisha imepanda.
Lakini lazima comrade amake ends meet.
Hata kama ni kuwa mtu wa mjengo by day na student wa Evening classes by night.
Comrades, ni mikakati gani mnatumia ku-survive?