
"Comrades, starting a business in Nairobi si mchezo! One time niliplan kufungua biz Embakasi, guess what? Goodwill ni 120K, plus rent ya 2 months na deposit – total ika-hit 180K na bado sijaanza hata kununua stock! Iko wapi pesa ya branding, licenses, na shelves? Ilibidi nibadilishe plan haraka! Wewe kama youth, umepitia challenges gani ukijaribu kuanzisha biashara?"
0
0
0