Comrades wacheni kulalia business opportunities, kuna hii biz ya kurentisha bicycles karibu na hizi institutions zenu, unaeza kula doh fiti sana