
COMRADES:-
Eti high cost of hostels in Universities zinatuma macomrades kukomboa mahao cheap kwa informal settlements (slums). Comrades wanainama na high cost of living😔. Mikakati gani inafaa kuchukuliwa ili wanafunzi wa chuo-kikuu wapate afueni?⬇️⬇️⬇️
https://youtu.be/jOT3CZP3ly...

0
0
0