Comrades,
Hii program mnaionaje?
Absa, Co-op na Qwetu/Qejani wame-partner kusaidia ma-students wapate loans za kuishi kwa hizi units za Qejani, wanalipa mdogo-mdogo @4K kwa mwezi.
Kisha wanakupee financial na biz training ili after graduation, unaeza aanzisha biz yako bila stress. Isitoshe wanakujenga na capital ya kuanza @200,000-500,000 kes. per month.
What do you think?
Hapo mahali HELB ilishindwa, do you think hii program inaweza?
0
0
0