
Congratulations🎉 @[Ali Chigamba] & @[Sharabion John] on winning the #5KChallenge😎 @[Kivaya Josiah] ali-go through all submissions and like almost everyone, ideas zilikua very great giving him a hard time ku-come up na winners. However, the basics za what constituted a good plan, zilikuwa centered around “Kuomoka Challenge”; vile unaeza budget your expenses na income. The other important aspect ilikuwa kuonyesha vile ataweza kulipa hio loan on time, kupeana a good breakdown from the already provided information ya challenge na pia kutoa tips poa on how to improve biz ya Kevo. Remember the next 3 months za biz ya Kevo, ilikuwa kuongeza sales, kupunguza expenses na kuweza kulipa loan. Click the links ku-cheki biz plans za Ali na John😊 https://meshlife.page.link/... https://meshlife.page.link/...

