Congratulations Samson for the good progress.For growth of your business ensure: 1.Trust God and dedicate your biz to him. 2.Set your goals and capabilities. 3.Look at your cash flow na vee unauza if inacorrespond . 4.make sure unatafuta customers ata online Kwa social media uko Whatsapp status so that ureach to customers wengi. 5.Make sure ukue na strong good relationship na customers wako so that wakuletee more customers pia. 6.Make sure umereduce unnecessary cost na pia reduce risk hii itakusaidia kubring out more sales thus more revenue. 7.make sure place unauza izo bidhaa ni strategic place that unaeza pata customers. 10.If it's not necessary usihire msee mwingine because it will need you umlipe salary..chapa biz solo to cut cost. 11.Usiongeze ubeshte Kwa bizz make sure your friend or family hachukui kitu bila kulipa. 12.Limit kupeana stuff na deni if possible ata avoid it 13.Make sure umeembrace technology because sai technology inamake vitu ikue easier. 14.Be your own boss in such a way that ukue discipline na pesa usikue mtu hajui kusave.. savings ni ya maana because itakuokolea kukiwa na emergency.Make sure pesa ya bizz inabaki kuwa ya bizz. 15.Make sure every jioni unaanalyze how the business ilienda throughout the day na umake sure umejua strength and weakness so that ujue ni wapi utaretify na wapi inafaa kuendelea ivo ivo. 16.Usicompete na mtu run your own pace na uchape biz legit enye haitakuletea business. 17.Trust in your self that you can do it. Samson ukifuatilia izo ideas I had Niko sure bizz yako itagrow and you will thank God.All the best in scaling your business.