
Considering uko na kitu kama 150k, biz gani unaweza anza na ikupatie returns fiti? Nimekuwa niki engage alot na mechanics na pia nimefanya research sana.Kuna hii biz yaku nunua salvage cars kisha unauza at a profit. Cheki hapa.Gari salvage but ina work fiti na engine iko poa,unaweza pata na kama 70k.Piga rangi na renovation at another 50k to 70k.Just to make it look new.Peleka io gari pale Car Bazaar along Ngong road.Huewezi kosa market ya io gari.Unaweza kuuza upto 300k considering pia the upgrades uliifanyia.Just an Ideađź’ˇ you can consider.But also do your research and engagement more.
0
0
0