
construction safety net
Zinakuanga site kuna moja ilikuanga famous pale otc ikakua hadi landmark
Kazi yake hua to prevent objects from falling on pedestrian during construction which may cause accident.
Pia Hu-provide a softer landing should anyone fall off.
Hizi hua very important kwanza kama unajua unatengeneza a tall building
Hii ni one of the safety precautions lazima ziwe site
#safetyfirst


0
0
0