
Content Creation Growth
Growth, skill building and kuona works nimedo ikikuwa appreciated ndio imekuwa journey yangu kwa hii field. Hapa mesh; ShujaazBiz kuna zile vids nilido ambazo zilinianzishia hii hustle. Vid ya Charles Ode, Katerina and Davie zilihappen time Covid ilianza. Hii ilihapen juu nilikuwa locked in Nai and biz yangu ya Mtito kukuwa unaccessible. So had pia ku improvise and kuget ways za kusurvive. Hapo ndio nilijoin program ya VituKwaGround as one of the pioneers.
And juu nilijua how important hii gig ilikuwa, and pia hizo desperation moments za covid, nilijituna saaana. And video most nilido zili stand out. And hapo ndio journey yangu ya production ikaanza. Was also doing classes hapa na pale ili ni build hii skill. And all through team Shujaaz and Dj Boyie wamemake sure na grow and pia kunishika mkono, ka seminar hapa, ka training pale, ka calls on area I need to improve from the whole familia ya Shujaaz imenipea psych noma saana ya kumake sure na sharpen hii hustle. And pia works nimedo zikiperform so so well imekuwa kama center ya inspiration.
Like Omosh, nataka tu "Kakamera, Katripod na Tulights Tuwili" 😂 so hii ndio ile area na savia bucks za kumake sure niko na tu equipment twa kuniokilea ku get works yenye iko quality.
#SisiNiMesh #Tujijenge