Content creation ndiyo imekuwa the way to go kwa watu wengi sikuizi, karibu CVS zianze kuinclude social media counts. Lakini ni content zote worth the hustle ama kuna zile ni za kujichomea CV?