
CORONA aki wewe, hii pandemic ilikuja na ubaya Sana. Lakini sisi kama yuts tulisimama kidete. Baada ya kupata booklets za shujaaz tulipata information kuhusu prevention measures. Tulianza kuelimisha watu kwa mtaa umuhimu wa keeping distance washing hands. Challenge kubwa ni ignorance, unaambia mtu nawa mikono analenga tu... Manze vaa mask some uona huo ni ujinga unamshow. Thanks Sana shujaaz, zile free masks tuliokolea wale wazee who could not manage buying one. Not forgetting the portable sanitizers which were used when one is out of reach of water. UNICEF pia kutupea water dispenser ilisaidia Sana.
0
0
0