
Corona ilipokam ilibidi nimerudi home kwetu(Kitale). Nilikuwa nimemada campo but sikuwa nimepata job. I thought of what to do nikiwa home then nilipokuwa napiga maraundi kwa our small piece of farm niliona opportunity ya kugrow fruits and vegetables. So far so good coz sina knowledge mob ya farming but naona vitu zinaenda poa. Pia nimeanza kufuga kuku. Niko na ten kukus and about 30 chicks. Thanks MESHers for the good vibes here.
0
0
0