Corona inahitaji hygiene kila time kunawa kufua nguo tumetoka nazo nje ni lazima kuosha surfaces na jili maji mtaani ni shida nkaona nifanye biz ya kuuza maji nikiwa hapo nauza masks pia