Corona ni serious na kila msee anafaa kuvaa mask kuji-protect. Niko na bro mdogo na amekuwa aliniuliza kama anafaa kuvaa mask pia. Watoi wa age gani wanafaa kuvaa masks?