COVID-19 awareness | Tuchanuane wadau! Manze numbers zinaendelea ku-shoot hapa Kenya, tujikumbushe zile measures tunafaa kuweka in place.