
Covid 19 came with many challenges from gigs kukata adi business kuanguka over the past 2 years. Ilikua a very big blow for the yutman. Kwangu nimejifunza alot business wise nimelearn skills kadhaa from the challenges like the saving culture in business because you never know kile itafanyika anytime.
Pale kwa community pia tumejifunza mob like kuvalue healthy living coz after all tumejua health yetu ndio wealth yetu.
Pia tumethank #Mesh Community nzima for coming through this difficult time na kuchoose kuchanuana story ya biz kutusupport again and again. Thumbs Up!
2022 tunabounce back tukiendelea na kujengana support huku tukipiga hustles zetu.
#Mesh #Tujijenge
0
0
0