
Covid 19 ilikuja na ubaya karibu i-shut dreams za the young generation lakini MESH ilikam through na sai tuko sorted. Tumejijenga na connections kali na kushare ideas noma noma na opportunities mob! Together with my group, we've been able to participate on a 14 days training on how to run and manage a successful business. Pia ju ya story ya Covid tumekua na hand washing station enye haisaidii tu wateja bali community nzima. #Tujijenge #SisiNiMesh #MESHer
0
0
0