
COVID-19 imechange lives za wasee most Sana especially wanabiashara na ma-stude ambao walikuwa Campo and some high schoolers.
During hii time kupitia initiative ya LindaFam ambayo ilikuwa started na Dj B nilisaidia community yangu.Nilipitia shops kadhaa mtaani nikiwadropia posters ambazo zilikuwa na information on the precautions, steps za kuvaa mask ๐ท na kuosha mikono!. Pia nilitumia hand washing station ambayo nilikuwa gifted na Dj B kama comic distributor wa nguvu mtaani๐.I made sure kila time ikona enough soapy water ndio clients wangu wakikuja wapate kuosha mikono before any services!.
Special thanks to you Dj Boyie.You made it easier for some of us kupass information and help the community!๐
Tuzidi kuchangamsha wasee wajoin Mesh. Mesh.life #SisiNiMesh #Tujijenge #ShujaazBiz