
"Covid 19 Pandemic ime-affect biz mob juu ya lockdowns, curfews na social distancing. Kuna biz zilikuwa closed, wasee wengine waliachishwa kazi lakini kuna biz nyigine zili-thrive na kufungua opportunities"
Chapter 140 page 140 iko na hizo ideas noma sana. Sante DJ B na team yote ya shujaaz biz. Always #Shujaaz #SisiNiMesh
0
0
0