
Covid-19 vile ilikam manze vitu most zilibaki zimesimama so mimi na a group of ma boys tuliamua ku mobilize resources ili tuende tutembelee wale watoi wako pale Nairobi children home.. The reason ya kufanya hivo was because watu wengi walikuwa na uwonga ya kuambukizwa so walikuwa wanakaa indoors, this meant that msaada hao mandugu na ma sister zetu walikuwa wanapata ilipungua. So we rallied for some food stuffs and manguo plus detergents tukapeleka, while there tulikuwa tunawaambia the importance of keeping safe and observing Covid-19 rules ndio wasije wakapatwa na janga la Corona.. Also tuliweza kugawa sanitary towels kwa wasichana wetu pale mtihani ndio wasiwe uncomfortable during monthly period na wasikose kuenda shule na kufanya yakazi zao pale mitahani. So hizo ndio among the challenges tulieza kupata suluhisho zao but najua tukiungana hakuna challenge yoyote inaeza tushinda coz we're #eMshers yaani solution providers. #SisiNiMesh #FormNiKujengana💪