
Coz ako kwa stadium Shally auze merchandise za sports such as team jerseys, scarves, caps, stickers, toys na flags. Merch za ball ni hot cakes during sports events. Anaweza kufikiria kuuza aina mbalimbali za vinywaji kando na kahawa. Angeweza auze pia chai, juice like minute maid, soft drinks kama Predator, na maji kama Dasani. Hii ita increase a wide range of choices for different tastes and preferences ya customers wake. Kando na samosa, ni poa if angeweza kuuza snacks. Hii inaweza kuwa vitu kama vile popcorn, chips, crisps, mandazi, ngumu, cakes, sweet mandazis, biscuits, sweets au other local snacks tu. Fruits pia ni a good idea and comes in handy on hot weather, hizo ni hot cakes and she should consider. #MESHChallenge
0
0
0