
Crackdown on illegal internet Providers 🤬🚩
Communication Authority (CA) wamepeana statement ya kutoa wasee wa kuuza internet na postal/courrier services wenye hawako licensed kwa market,
Kama msee uko kwa biz na unatumia wifi ama courier services Ku_parcel vitu za clients wako hii itaku_affect , juu hawa providers wanasema ni illegal ndio ukuwa cheap na wasee most ukuwa clients wao,
But the government ina_advice citizens kuchukua a licensed service provider juu hapo uko guaranteed utapata better quality ,better customer service na protection pia💯
Unaeza check licensed internet providers kwa hii website :
ca.go.ke/licensee-register
Share opinion yako hapo kwa comment section kuhusu hii move ya CA kama ni poa ama wanaeza acha tuu hao service providers wabakie kwa market ?
