
Creative Group, so how did you guys identify your talents/creative field?
Kuna zile standard steps msee anaeza follow ili ku identify his nitch and pia vile ya ku try and make business out of it. Here are some, unaeza add more ili tujijenge zote
- Chapa life assesement test, kuna kadhaa hapa online including personality test. Meyers-Briggs Type Indicator ndio famous sana, check it out.
- Tafuta kitu ukufanya u feel strong and pia inakupea purpose in life
- Pia check ile kitu wewe u spend doo yako most. Like kama place umetumia doo most ni phone and tech basi hio ndio nitch yako. *Ulizia ma beste zile ukuwa best and worst qualities. Sema unafanya project so wakuwe honest in their answers. Unaeza pia tumia anonymous site kupata honest answers from ya friends. *Ya mwisho fikiria kitu wasee wengi washa kushukuru nacho.
Kama uko na more share hapa ndio familia yetu ya creative endelee ku grow.

0
0
0