
⏩ Creative industry iko na doh! 💸 Lakini lazima ukue na the right skills na strategy, kama networking! 💯 One of our very own @[Fredrick Manyasi] anatuchapia tips zake za ku-make it kama msanii! 😎 Cheki form alafu tuchapiane kwa comments...feel free pia kubonga na Freddy kwa DM 📩

0
0
0