
Creative Mesher, vipi leo tujengane na Documentaries/ Movies zenye ni life changing and ziko na tips nooma za kusharpen skills za biz? Kuna beste yangu amenishow "Before I get involved with any crypto biz kwanza I make sure ni watch a documentary on Netflix called "TRUST NO ONE".
Weka recommendation hapa zenye zinaeza tufungua macho in ways za ku think outside the box in terms of biashara #SisiNiMesh.

0
0
0