
Currently Kevo ako na savings za 4,800 every month ambayo sio mbaya. Using loan ya 20k anaeza prioritize from the current products anauza Gani ina sell sana ndio atumie a percentage of the loan to restock more of it. Secondly anaeza introduce products mpya zenye ameskia customers wakiitisha na hana for the moment. Thirdly anaeza eka a percentage ya emergency na marketing
0
0
0