
Currently Mimi ni Busia Port Victoria town,huku wasee bado hawajui MESH so when given a chance ya kuwa ambassador nitakuwa natembea kwa vijanaa nikiwashow how MESH works halafu I will be registering them through kuwatumia app ya MESH .Halafu pia nitadesign Logo ya MESH na niweke hapa kwa town so that watu watajuwa MESH helps!
Personally nafurahia kuwa kwa MESH
0
0
0