Customer ashawahi kukukasrisha??😂. Mimi nimefanyia mwengine kazi online ya 100/-. 3 days hajalipia. Leo namkumbusha anareply Kwani 100/- ni kitu cha Kukumbusha mtu . Aki Mungu nitie nguvu.