Customer saying service is satisfactory, And the experience was good. Hapa kuna vile msee amelike vile tunahandle customers tofauti, pressure etc, Anasema tukieka WiFi kwa wale wanangoja kuhudumiwa wasiboeke itakua fiti