
#CustomerRetention Ni kitu poa kulingana na the business place uko na customers wako ni akina nani, ju kuna customer who come from far mostly ni wale waReferal na wengine ni wale unawajua from mtaani.
#Quality product & services Best thing to maintain, ni kuOffer the best and quality services or products. They will always appreciate, pia kusaidia customer kwa Advice ile unaona aki choose ita mfikisha kwa ile target yake ile alitarajia. Kwa mfano products zile ni durable na zenye sizo. mueke wazi ju ww ndo unajua originals one ,ukimpa the best choice na ikimsaidia , basi atakuwa close kwa bzna yako atakama staff anataka hakuna atakuTrust na kukuomba umtaftie.
#Unyanyasaji Kwa bzna ukiact mature u will always win customer retention, but ukiwa yule mzee unaKatia Customers wako wanaambiana then u will find hard kuja kwa bzna yako. na kama hana option atatuma mtu tofauti mwisho analoose interest kubuy staffs zako. So maYouths to stop GBV Kwa bzna. Train your staff members to avoid it.
JENGA Trust, Give respect.
Peana trust to all customers , value them atakama ni katoto ujue kile wataka ni ile pesa yake for u to grow.
Always Learn to understand the customers need and are always right.