
Customers are always right. Hata kama unajua ako wrong unafaa tu kukubaliana na yeye. Hivi ndio mimi humaintain customers wangu. Alafu pia kuwa na lugha. Akikuja nampigisha maristo hapo Na hata kuwapea discount ndo warudi tena. Pia me hujaribu kuwakumbuka majina ndio wasikie ni kama nawajali. Customer huskia poa sana ukimuita na jina yake. Ya mwisho, mimi husmile hata kama najua niko na mashida zangu kando. Usiwaletee stress zako. Na ukikaa umeboeka watahepa
0
0
0