
customers wangu wamenishaw experiences zao mob sana but nikapik main ones ni hizi wasee👇👇
-
pricing, customers wameniambia kwamba bei yangu imekua fair Sana'a ukicompare na wale wengine ambao wamekua wakiofer same services.
-
Understanding my customers demands. wamedai kwamba licha ya services kua mob,Mimi nilikua nawapea the best they expected,mfano Mimi nimekua natengenezea customer stima na anakaa muda sana bila kuona shida upande wa stima but wengine hawakuwa wakideliver services zao vile customers walidai.
-
Integrity, customers wamedai nimekua mkweli na kufanya job kwa njia ya uwazi na wengi Sana'a waliniamini kwa kunipea doh zao ninunue vitu za job ningewafanyia bila wasiwasi.
-
Uwajibikaji, maze grao ni kujituma,hii imefanya nikapata job Sana'a kwa macustomers wangu na hii ikainua hustle yangu tena sanaaa. Mimi sikukosa pia kurudisha shukrani maze hustle imekua hustle kwangu.
-
Good relationship with customers, hii imefanya nikapata customers wengi sana na pia wengine wakaniundia connection ambazo zimenijenga sanaa na pia kuinua hustle yangu mtaani🤑🤑💪💪💪
