Customers wenye hawana pesa ya kulipa mi huangalia relationship yangu na wao in terms of vile wamekua loyal Kwa biz. Kama msee amekua akini promote na loyal, huyo nampea grace period ya kulipa later