
CUTTING COSTS
Utapass down cost kwa clients ama unacheck ways za kuget same quality at lower price? Wasee wenye u do production biz hii ni language yenye tunaelewa vipoa sana. Kuna gig flani DJ Boyie alinihook up nayo last year; kuunda wooden dispenser. Ndio tu agree on pricing nili have kuunda kwanza sample yenye ili'impress wakuu 😂. So order ilipocome the first week ilikuwa challenge kiasi juu ya cost of production and delivery hadi kwa clients.
From producing it karibu na clients, ku compare all prices za materials, kutafutana na hustla wenye wako kwa hio field kunipea maujanja, kujiundia mwenyewe, ku modify product yenyewe while keeping the quality, kubuy some material in Bulky, hizi ndio zile options nili try out. By the time nimeget comfortable nili reduce cost of production by over 80% something yenye iliweza ku ni suprise lengths za cutting cost wasee wako kwa biz wanaeza enda.
Wasee wa service biz watushow pia zile measures wao u do ili kama kawa #Tujijenge