
Cyber Attacks š©āš»
Juzi umeskia mpesa na services za gava kwa platform kama ecitizen zimekuwa down for some time, adii kaa hakuna personal data iliibiwa wasee kadhaa walikuwa affect kwa biz zao, š©āš»
Cyber attack inaeza happen kwa institution biggie kama government agency ama small individual network kama personal computer so lazima ukuwe rada juu pia wewe unaeza kuwa target,š©āš»
Hackers mostly target yao ukuwa kupata sensitive data kama password ama bank details ukifanya online purchase and so on š©āš»
How to protect yourself:
š©āš» Update software - make sure apps na software unatumia kwa lapii ama computer yako ziko up to date.
š©āš» Antivirus software - install antivirus kwa lapii ama computer unatumia ,
š©āš» Strong password - tumia password strong with both upcase ,lowercase na special characters.
š©āš» Don't open spam - kama umeona spam na institution ama organization hauko familiar don't open it unaeza fall victim of the phishing attack
#kaa rada online is not always safe šŖšŖ
