
Daima angalia seller ratings na customer reviews kabla ya kununua bidhaa online. Hii inasaidia kuepuka surprises!
š³ Jinsi Malipo Jumia Hufanywa: Jumia inakupa flexible payment options: ā JumiaPay ā Salama na haraka! ā Lipa na M-Pesa ā Ingiza Jumia Paybill na order ID yako. ā Cash on Delivery ā Lipa ukiwa umeiona bidhaa yako.
Nunua smart, lipa kwa njia rahisi! š„ #JumiaShopping #SmartPayments

0
0
0