
Day 2 in KISUMU COUNTY
Shukran sana watu wangu, we are gonna do it our way mpaka mwisho.
Jana imekuwa kubwa sana, Wale wa lunch siku tarajia hivo... WAAAAAAHHH !!!
Picha zinakuja kwa sana, after nime malizana na Pacho, kuhusu maswali na segment tumekuwa nazo jana Shukran sana, naaminia zita saidia nakubadili sana badoo Vijana.
I'll be attending on Friday a burial of one of ours pale RONGO... Ntashare nanyi info baadae kiasi, kwa wale hawakuwa wanajua about Mesh now they know and am happy to say on board of MESH LIFE tumepata new souls and energy, Watch the Sign up this coming days... Mesh Hii itakuwa kubwa kuliko FB,Twitter etc.
Am still thinking of sharing my number online though naomba tuwe wastaarabu kwa hili.
About lunch mazeee leo mje niwanunulie pia wale mpo Kisumu, the yesterday count was just awesome.
TOGETHER WE CAN DO THIS #KenbwoyMtaani