
Deal Breaker ya any hustle ni clients, relationship, trust, believe, a way za kufanya client a come back. Client most wont mind kupay doo most as long as umeweka environment ya hizo points. Wale wasee wamekuwa na mimi hii yime and ku support hustle zangu ni juu nilo establish hizi basics. And its working saaana mwanzo hii time i desparetly needs bakes and pia pandemic inaendelea kubite mifuko ya kilamsee.
0
0
0