
Dear watu wakukuja kwa kitchen, the top of a refrigerator is not a shelf 🥴, Ati sasa funguo za nyumba, gate, kakikapu ka dawa (panadol, cetrizine, kaluma), tuvitabu... tubusiness card, tu reminder twa kuclear fee twoooote ni hapo, HAPANA 😂
Kitchen Master, share actions zingine zenye ni repulsing jikoni.

0
0
0