
Dear woshy , biz ya slides na doll shoes ni fity sana . Ingekua better ungestate location yako nijue estimation ya rent . Slides most hukua 200 kwa wholesale kama Huna link I can direct you . Chukua kama 7k buy slides hizo ni 35 pieces then eka price yako from 350 since biz ya viatu niwewe unaamua price yako but isikue too high . Chukua dollshoes kama 10 pieces since madem now days wanatembelea slides sana dollshoe moja ni 300 to 350 uza at 500 . Tafuta a central place and a busy street rent ka store at 2k na licence yake nikama 2k. Do online business as well ufanye physical one utaget good clients . Utapokea new orders kama unafanya biashara fity mtu atakuambia umletee type yenye anataka just like that unaanza ku grow .
With time eka crocks zinatoka at 150 unauza 250 amah 300 that's after biz imeshika chini . Unaeza ongeza za dress madem first camera zitabooste biz sana. All the best kwa biz yako .



