
๐ค Debt economy ๐ธ๐ฐ๐ช
๐กMost of us tuna_survive na debt, maybe ni ka_loan umechukua mahali u_boost biz ama ni products umechukua ulipe baadaye ama umekopa dooh utumia kwa personal expenses bado iyo ni debt,
๐กAnd what funny nieti the more unaeza utilize hii concept kwa investment zako the more profit you can make ,here what I mean:
๐ค Maybe unadai kufanya kazi online but hauna capital ya kushika laptop, it's would be wise kuchukua laptop on debt ulipe pole pole as you do your gigs online (incase uko kwa hii category partnership ya mesh na shortlist inaeza kusaindia sana , uchukua laptop on loan with zero interest rates)..
๐คAma maybe umekuwa mteja for some time na biz yako inaitaji ukuwe online ndio u_serve clients wako poa , kuchukua simu ya mkopo inaeza kuwa idea poa pia juu itasaindia ku_maximize on your profit ๐ฏ
๐กBut ofcourse kuna vitu kama interest rate na repayment plan unafaa kuconsider, some time loan inaeza kuwa boost kwa cash flow yako na pia inaeza kuwa downfall ya biz yako kama hauko careful vile unai_handle , so kukuwa na info poa ya vile unaeza handle loans ni vital sana ๐ฏ ๐ช na hapa mesh tukona group ya credits and loans knowledge na courses kadhaa on financial literacy unaeza tumia kuboost financial discipline yako, so feel free to check them out ๐ฅ๐ฅ
