
Debt traps 😭
💸loans ukuwa boost fitie sana kwa biz , but sometimes pia inaeza kuwa setback , unarealize unaishi kwa debt trap unakopa loan kulipa deni zingine na iyo ukuwa tricky sana , 💸 Saa hii kuna loan apps kadhaa unaeza kopa dooh online na uboost stock ya biz yako , but wasee most uchukua iyo dooh unatumia kwa vitu personal na kulipa inakuwa ngori , so kama msee wa biz ni poa kuseparate dooh ya biz na personal use💯 💸 Ni poa kama mesher kukuwa na guidelines fitie za ku_handle loans juu inaeza kuwa overwhelming usipokuwa rada , 💸Kama msee wa biz ukichukua loan ya kuboost stock husitumie kwa vitu personal, sometimes msee anaeza sema etii biz italipa na profit baadaye na iyo ukuwa ni kufinya biz na hautagrow kama mwanabiashara so avoid kabisaa 💔
💡Share experience yako na loans hapo kwa comment section, acha meshers wengine walearn from you 🙏
