DEMAND LETTER
Hii ni barua rasmi na ya kisheria(legal) kutoka kwa mtu ambaye anakudai dooh.
Barua yenyewe ni serious juu ina-state pesa ngapi unadaiwa, deni ime-pend for how long na ku-demand ulipe au sheria ichukue mkondo wake.
At this point, ukikosa kujibu barua hii, unaweza pelekwa kortini au wakutumie auctioneers.
Suluhisho ni hii:
Jibu barua hii as soon as unaipata, reach out kwa mwenye unamdai na work out a suitable payment plan.
Umewahi jipata kwa situation ya kudaiwa madeni?
Ulihandle iyo situation aje?
0
0
0