
Design mse anaeza kaeka good foundation for a house knowing that ikiwa na poor na faulty foundation itaanguka ,hivyo ndio msee anafaa kuingia kwa biz . Wasee wengi huingia kwa biz juu beste yake anafanya hio na inamletea doo not kwowning that huyu jamaa alifanya research before aekelee doo yake . some good foundation inaeza ka kua kama :
good market area aka position market iko bazed physically type of product msee anadai kuuza {huwezi uza kitu place wateja hawako ama relatively ni wachae kulingana na baze ingine} Definitely price na inventory management customer relation inakuanga under rated but extremely important Most important thing ni CONSISTENCEY ,kujituma manze
0
0
0