
"Despite the challenges tunaamka and try again"
Nimecheck Kilimo Chronicles thread flani pale TikTok, aaaaaand Kilimo sio easy. Here are some snippet
"@@โ:Mzae aliekelea melons hesabu ya seasons ikakosa kuingiana.... Time ziko ready for harvest kulkua na mvua inakaa elnino...Zilkua zina burst kama grenades...Tulkua tunampea maziwa na mnyonyi ya mtoii๐"
"@Greg Kidiwa:I harvested a lorry load of watermelon ๐, kumbe they must be protected during transportation. Lorry driver akazirukisha bumps mbili tatu, lorry ilifika market ikimwaga juice na mimi machozi."
@pato:broker ali-offer bei mbaya ya sukuma kwa shamba,beshte yangu akaniabia tuzichune tujipelekee kwa soko. ilifika saa sita kama hazijanunuliwa. tuliziacha mahali tukajifanya sio zetu๐๐๐
@WAYHUB KENYA:I planted 3acres one morning my cousin called and asked me ,unakuaga na pressure ,nikamshow sinaga ,akanichapia ukisurvive chenge nakwambia saa hii utaipata pressure.nyanya zimebebwa zote na mvua๐๐
@earnestdanie:Nilikopa loan ya 500k nikafuga Quail bird zilipoanza kutega mayai ikashuka from 100 to 5bob nilikua nachemsha tutano nakula nikitoa manyoya
@Lee:Farming ya mimea inaweza fanya uelewe beef ya Cain na Abel๐๐๐
@juddy:Na wenye walijaribu ngurue ikabidi waachilie zikue ngiri๐๐ juu it's costly.. farming is not that easy tho
It's Kilimo unaeza kuwa ngori, but "To plant a seed is to believe in tomorrowโs abundance."
